Luke 23:43

43 aYesu akamjibu, “Amin, nakuambia, leo hii utakuwa pamoja nami Paradiso.”
Paradiso maana yake bustani nzuri, hapa ina maana mahali zinapokwenda roho za wacha Mungu, yaani watakatifu.


Copyright information for SwhNEN